UWE NA RADHI NA VITU ULIVYO NAVYO

Katika barua yake kwa Waebrania, mtume Paulo asema:
« Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa. »(Waebrania 13:5).

Kupenda fedha ni tabia inayotutenganisha na Mungu na watu, na kutufanya tuishi bila amani.
Lakini tunaporidhika na kile tulicho nacho, tunaishi kwa amani na furaha.

Natamani uhisi amani na furaha inayotokana na kuridhika na ulichonacho.

THE LION OF JUDAH MINISTRY IN THE WORLD©
thelionofjudahmission@gmail.com
☏: +250730900900
KIGALI – RWANDA

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *