SAMEHE !

Unaposamehe, Unaweza kupenda.
Na unapopenda kweli, nuru ya Mungu inakuangazia.
Ni tendo la upendo na unyenyekevu, sio udhaifu.

Kwa hiyo, samehe !
Samehe kwa maana « mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. »(Mathayo 6:14)

Msamaha huweka huru moyo wa yule unayemsamehe, lakini pia moyo wako.

OMBI:
Baba yetu uliye mbinguni, utusaidie kuwasamehe wanaotukosea.
Ni katika jina la thamani la mwanao Yesu Kristo tunaomba, Amina.

THE LION OF JUDAH MINISTRY IN THE WORLD©
thelionofjudahmission@gmail.com
☏: +250730900900
KIGALI – RWANDA

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *