VITU SABA VINAVYOCHUKIWA NA MUNGU

Neno la Mungu linatuhimiza tuepuke chochote ambacho Mungu anachukia.

Hapa kuna vitu saba anavyovichukia Bwanaa na vilivyo chukizo kwake:
« Macho ya kiburi,
ulimi wa uongo,
mikono imwagayo damu isiyo na hatia;
Moyo uwazao mawazo mabaya;
Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu;
Shahidi wa uongo asemaye uongo;
Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu. »(Mithali 6:19)
Dhambi zilizo kwenye orodha hii kwa namna fulani ni changamoto kwa Mungu na zinaingilia maisha na amani.
Ni lazima tuziepuke kwa ajili yetu na kwa wengine pia.

OMBI:
Baba yetu uliye mbinguni, tusaidie kuepuka kila kitu unachochukia.
Ni katika jina la thamani la mwanao Yesu Kristo tunaomba, Amina.

THE LION OF JUDAH MINISTRY IN THE WORLD©
thelionofjudahmission@gmail.com
☏: +250730900900
KIGALI – RWANDA

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *